Basi la mtei lachomwa moto na wananchi wenye hasira huko singida
Inasadikika Wananchi wenye hasira wameteketeza kwa kuchoma moto basi la Mtei Express
linalosafiri kati ya Singida - Arusha - Singida baada ya kugonga
pikipiki na kuua watoto watatu hivi punde
0 comments: