MATIC AREJEA CHELSEA KWA KISHINDO
Kiungo raia wa Serbia Nemanja Matic amesajiliwa tena kwa mkataba wa miaka 5 na nusu.
Chelsea imekamilisha uhamisho wa kiungo raia wa Serbia Nemanja Matic kutoka klabu ya Benfica ya Ureno.
Matic ambaye anarejea Chelsea
baada ya kuihama akiwa ni sehemu ya uhamisho wa beki David
Luiz,amesajiliwa tena kwa mkataba wa miaka 5 na nusu kwa ada ya uhamisho
ya paundi milioni 21.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 tayari…
0 comments: