Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Awatunuku Nishani Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Salmin Amour Juma na Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Amani Abeid Karume
![](http://4.bp.blogspot.com/-H4QvC4_B3jo/UtF9QZtkzXI/AAAAAAACl8Y/nigf_inUjdg/s1600/TA1A8878.jpg)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk .Salmin Amour Juma,katika hafla iliyofanyika
viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,katika shamra shamra za Miaka 50 ya
Mapinduziya Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/--GoHs0cDpqE/UtF9rQ4j9zI/AAAAAAACl8w/p0Cuub2WyBU/s1600/IMG_0163.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Amani Abeid Karume,katika hafla
iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,katika shamra shamra za
Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vbbt4-KgEVA/UtF9XqOgvmI/AAAAAAACl8o/pfi2VQBGUNc/s1600/TA1A8853.jpg)
Mke wa Rais wa zanzibar Mama
Mwanamwema Shein akibadilishana mawazo na Rais Msstaafu wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Amani Abeid Karume (wa pili kulia )
na Rais Msstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
.Salmin Amour Juma,katika hafla ya kunukuku nishati iliyofanyika viwanja
vya Ikulu Mjini Unguja,katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya
Zanzibar.Picha na ramadhan Othman-IKULU-Zanzibar
0 comments: