Waumini wala majani ili kuwa karibu na uwepo wa mungu huko South Africa
Mchungaji mmoja huko Afrika kusini amewaamrisha wafuasi wake kula majani kama ishara ya kuwaweka karibu na mungu .waamuni walitoka kwenye sakafu ya kanisa na kwenda kushambulia majani ili wawe zaidi na mungu .Baadhi ya watu walilaani kitendo hicho lakini mchungaji alisema kuwa mwanadamu ili awe karibu na uwepo wa mungu lazima apige kitu cha majani
Mwanamke mmoja ashuudia kupna stroke baada ya kula majani huku mwingine akisema kuwa amepata mazara kutokana na kula majani
wafuasi wakila majani baada ya kuambiwa na mchungaji kuwa wakifanya hivyo watakuwa karibu na mungu zaidi
0 comments: