HUKUMU YA LIYUMBA YAAHIRISHWA HADI KESHO
Amatus Liyumba
HUKUMU ya
kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa
Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba
imeahirishwa hadi kesho katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini
Dar es Salaam. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi,
Augustina Mmbando baada ya leo kutokamilika.
0 comments: