Amatus Liyumba Hatimaye ashinda kesi
Amatus Liyumba.
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na
Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda
kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba
ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi
hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo
imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando kuanzia saa 3:30…
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na
Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda
kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba
ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi
hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo
imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20
asubuhi
0 comments: